Karibu kwenye ukurasa huu upate taarifa mbalimbali kuhusu kwaya zetu za NYEGEZI ADVENTIST CHOIR. Kanisa letu limebarikiwa kuwa na kwaya nzuri sana ambayo imeweza kufikisha ujumbe mzuri sana kwa watumishi wa Mungu.
Nyegezi SDA choir
Nyamazobe SDA choir
Mkola SDA choir
Kwaya hizi karibu zote zina matoleo mbalimbali ya CD na DVD hivyo kama utahitaji wasiliana nasi kupitia nyegezisda@gmail.com