Thursday, 3 April 2014

Pichani toka kulia ni Pastor Kerosi Elkana(Division) - General Field Secretary, akifuatiwa na Pastor Steven Akeyo na Mwinjilist Peter Roennfeldt toka Melabourne- Australia na mwisho kabisa ni mshiriki wa Nyegezi Mwl Mjaya.