Sunday, 13 April 2014

Pichani ni tukio la ugeni wa wachungaji toka General Conference na Division Peter Roennfeldt na Pastor Kerosi Elkana na kukutanisha mitaa 2 Nyegezi na Butimba




Wana kwaya wa Buhongwa wakipunga mikono kuonesha furaha

Shule ya Sabato, toka kushoto ni Gidion Palapala na viongozi wengine wa mtaa wa Nyegezi


Watoto wa Mitaa 2 wa Nyegezi na Butimba wakiwasikiliza walimu wao

Umati wa Washiriki ulikuwa mkubwa sana mpaka wengine kukaa chini


Mahemasi wa Mtaa wa Nyegezi wakipewa maelekezo na shemasi mkuu wa kiume(aliyeweka Biblia) kifuani Benard Gelard

Muda mfupi kabla ya kuanza Ibada kuu, pichani toka kushoto ni mwinjilisti na mchungaji Peter Roennfeldt, Pastor Okyeyo, Pastor Karuma(Mwananzengo) na Pastor Kerosi Elkana




Kwaya ya Nyegezi

Kwaya ya Buhongwa wakati wa kukusanya Sadaka

Kwaya ya Nyegezi ilihudumu Huduma kuu

Kwaya Nyamazobe nao pia walihudumu

Kwaya ya Tambukareli wakitoa huduma ya uimbaji mchana

Dada Eliza Katibu wa ofisi ya Katibu mkuu wa conference akiwa na familia yake ktk picha ya pamoja na viongozi wageni.

Kwaya ya Mkolani

Sehemu ya Kwaya ya ASSA Nganza secondary nao pia walihudumu

Kwaya ya Mambamanne