ABOUT US

Pata kufahamu Historia fupi ya Kanisa letu la Nyegezi, kwa kufahamu ni wapi tulipotoka na mpaka sasa tulipo, tukiendelea kukujuza historia juu ya maendeleo ya kanisa letu kufikia mpaka kuwa kanisa mama na kuweza kutoa makundi mengine.