Sunday, 14 December 2014
Sunday, 13 April 2014
Pichani ni tukio la ugeni wa wachungaji toka General Conference na Division Peter Roennfeldt na Pastor Kerosi Elkana na kukutanisha mitaa 2 Nyegezi na Butimba
| Wana kwaya wa Buhongwa wakipunga mikono kuonesha furaha |
| Shule ya Sabato, toka kushoto ni Gidion Palapala na viongozi wengine wa mtaa wa Nyegezi |
| Watoto wa Mitaa 2 wa Nyegezi na Butimba wakiwasikiliza walimu wao |
| Umati wa Washiriki ulikuwa mkubwa sana mpaka wengine kukaa chini |
| Mahemasi wa Mtaa wa Nyegezi wakipewa maelekezo na shemasi mkuu wa kiume(aliyeweka Biblia) kifuani Benard Gelard |
| Muda mfupi kabla ya kuanza Ibada kuu, pichani toka kushoto ni mwinjilisti na mchungaji Peter Roennfeldt, Pastor Okyeyo, Pastor Karuma(Mwananzengo) na Pastor Kerosi Elkana |
| Kwaya ya Nyegezi |
| Kwaya ya Buhongwa wakati wa kukusanya Sadaka |
| Kwaya ya Nyegezi ilihudumu Huduma kuu |
| Kwaya Nyamazobe nao pia walihudumu |
| Kwaya ya Tambukareli wakitoa huduma ya uimbaji mchana |
| Dada Eliza Katibu wa ofisi ya Katibu mkuu wa conference akiwa na familia yake ktk picha ya pamoja na viongozi wageni. |
| Kwaya ya Mkolani |
| Sehemu ya Kwaya ya ASSA Nganza secondary nao pia walihudumu |
| Kwaya ya Mambamanne |
Subscribe to:
Comments (Atom)



